Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetoa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2015. Matokeo yanayoonesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa kulinganisha na mwaka 2014.

Ufaulu huo umeshuka kwa asilimia 1.85%, kutokana asilimia 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% kwa mwaka 2015.

Bofya hapa kuona matokeo yote kupata matokeo yote

Mramba,Yona wakabidhiwa kazi za Ofisi
Nike yampiga chini Manny Pacquiao baada kupinga ndoa za jinsia moja