Leo Julai 15 2016 Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya Ualimu (DSEE) na GATCE 2016.
Ambapo jumla ya watahiniwa 337 sawa na asilimia 84.46 ya walifanya mtihani Stashahada ya Ualimu Sekondari (DSEE) 2016 na
Jumla ya watahiniwa 10,747 sawa na asilimia 99.81 ya walifanya mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) 2016
Bofya hapa kutazama matokeo ya ualimu daraja A (DSEE) 2016 Â –>>Â hapa
Bofya hapa kutazam matokeo ya GATCE 2016 Â –>>Â hapaÂ