Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride la heshima kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu Zanzibar leo Januari 12, 2022, zinazofanyika katika Uwanja wa Amani, Zanzibar.

Makomando wakipita mbele ya Rais: Sherehe za Mapinduzi
Miili ya waandishi wa habari yaagwa