Msanii Saida Karoli amefanya onyesho kali la kusherehekea miaka 15 toka aingie katika muziki, onyesho hilo lililofurika watu limefanyika katika ufukwe wa Escape One Mikocheni jijini Dar es salaam, ambapo Saida alipanda jukwaani kwa awamu tatu tofauti akikonya nyoyo za mashabiki wote waliofurika katika eneo hilo. Tazama hapa picha zikionyesha matukio mbali mbali

 

Watoto 8 waliofichwa warejeshwa kwa wazazi wao Sumbawanga
Makala: Jicho langu kwenye banda la maonesho ‘Sabasaba’

Comments

comments