Mradi wa kutengeneza vyakula vya nyongeza kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ni mradi wenye matumaini kwa Tanzania katika upande wa lishe hasa kwa watoto wenye tatizo la utapiamlo

Mradi huu unaratibiwa na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania TFNC kushirikiana na Chuo cha Sayansi Shirikishi Muhumbili MUHAS, Chuo Kikuu Kilimo SUA na Shirika la Viwango Tanzania TBS.

kwa maelezo zaidi bofya hapa ..

Neville atoa ushauri wa bure Manchester United
Tetesi za usajili: Thomas Partey anukia Arsenal, Inter Milan yamuwania Kante