Mawaziri wa Afya wa Tanzania na Kenya wanakutana Leo Agosti 5, 2021 Mjini Nairobi wakiwa na lengo la kujadili changamoto zinazokabili nchi zote mbili katika nyanja mbalimbali ikiwemo suala ya UVIKO-19 kwa upande wa mipakani.

Pichani ni Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima akizungumza jambo katika kikao kilichofanyika nchini Kenya cha makatibu wakuu wa Wizara ya Afya walipokutana kuzungumzia jisi ya kutatua chanagamoto ya Uviko 19 Mipakani ambapo leo mawaziri pia wanakutana nchini humo

Aidha Mkutano huo unatokana na makubaliano ya Wakuu wa nchi hizo mbili walipokutana mapema mwezi Mei mwaka huu na kukubaliana kuondoa changamoto za masuala ya Corona Kwa upande wa kibiashara.

Pichani ni Waziri wa Afya Nchini Kenya Mutahi Kagwe akizungumza jambo katika kikao kilichofanyika nchini Kenya cha makatibu wakuu wa Wizara ya Afya walipokutana kuzungumzia jisi ya kutatua chanagamoto ya Uviko 19 Mipakani ambapo leo mawaziri pia wanakutana nchini humo

Amuua mkewe kwa risasi chumbani, naye ajiua
Rihanna aishtua dunia, amfunika Mo Dewji