Mbali na mazao ya asali na nta, nyuki pia hutoa maziwa ambayo kitaalamu huitwa Royal Gel na sumu ambayo hutumika kutibu magonjwa na kuondoa muonekano wa uzee

Akizungumza katika mahojiano maalumu na Dar 24 Media, daktari wa tiba kwa kutumia nyuki na mazao yake kutoka Tanzania Internation Bee Limited, Dkt. Musiba Paul Kitema amesema kuwa maziwa ya nyuki hutumika kutibu magonjwa yanayohusisha homoni kwa wanawake na wanaume.

“Tafiti mbalimbali duniani zimeonyesha matibabu kupitia mazao haya ya nyuki yameleta matokeo mazuri katika kutibu saratani na kupunguza makali ya virusi vya ukimwi, tafiti bado zinaendelea,”

Serikali kupokea Chanjo ya Sinopharm kutoka nchini China
Wazazi chanzo cha matatizo ya moyo kwa watoto