Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu kwa Kwanza wa Rais.

Pia, amemteua Omar Said Shaaban kuwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda na Nassor Mazrui kuwa Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto.

Uteuzi huu unaanza leo na wateuliwa wote wataapishwa kesho saa 4:00 asubuhi.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Machi 4, 2021
Watu Bilioni 1 kukosa usikivu