Vijana wametakiwa kuona fursa za biashara na ushiriki wao kwenye uongozi na mapinduzi ya nne ya viwananda ambapo wamekutana na kujadili jinsi ya kuwa tayari katika kuwekeza na kuendana na kasi ya uchumi wa viwanda.

Hayo yamejiri katika kongamano liliandaliwa na TGNP Mtandao lillowakutanisha wadau mbalilimbali ikiwa ni maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia,..Bofya hapa kutazama video nzima.

VIDEO: Vigingi uenyekiti wa Mbowe Chadema, Ma RC mtegoni
Mzee wa miaka 71 akamatwa kwa kuipigia simu kampuni mara 24,000 akitaka aombwe radhi

Comments

comments