Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri amesema kuwa Mbowe na wenzake watakaa mahabusu hadi Aprili 3, 2018 watakapopelekwa Mahakamani

Watasaini dhamana, wakishakuwa huru ndiyo zoezi la taarifa ya kukata rufaa kama Jamhuri ilivyoonyesha nia litafanyika.

Ameyasema hayo mara baada ya kusikiliza hoja zilizowasilishwa na upande wa Jamhuri na utetezi ambapo amesema Aprili 3, 2018 washtakiwa wapelekwe mahakamani wasaini bondi wakishakuwa huru ndiyo zoezi zima la taarifa ya kukata rufaa kama Jamhuri ilivyoonyesha nia litafanyika.

 

 

Magazeti ya Tanzania leo Machi 30, 2018
CAG awaomba radhi wananchi kuhusu deni la taifa

Comments

comments