Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru akiwa kwenye ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Christina Mndeme ambaye ana ziara leo septemba 19, 2021 huko Namtumbo, mkoani Ruvuma.

Mbunge huyo na watu waliokuwepo kwenye gari hilo liloacha njia na kupinduka wametoka wakiwa salama.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Septemba 20, 2021
Guinea: Utawala wa kijeshi wakaidi wito wa ECOWAS