Meridiabet mabingwa wa michezo ya kubashiri wanakuambia kimya kingi kina mshindo wake wamefika mtaa wa Fire-Kariakoo kuhakikisha wanazindua duka jpya kwaajili ya kubashiri michezo mbalimbali huku ODDS KUBWA za kumwaga zikimiminika kila siku kazi inabaki kwako tu kuweka dau na kubashiri. Duka hili litawawezesha wakazi wa Fire na wengine kutoka mitaa ya jirani kubashiri wakichagua machaguo zaidi ya 1000 wanayotaka.

Meridianbet wamekua wakizindua maduka mara kwa mara ndani ya Jiji la Dar-es-salaam huku kwasasa ikafika zamu ya Fire-Kariakoo ambapo wamezindua duka jipya ambalo wakazi wa eneo hilo watapata fursa ya kubashiri michezo mbalimbali pamoja na ODDS BOMBA, Vilevile wana Jackpot yao ya kibabe kabisa yenye bonasi nzuri kuliko sehemu yeyote.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.

Pia tembelea tovuti ya Meridianbet meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri  mubashara mechi hizo.

Washukiwa ugonjwa wa Marburg wafikia 205 Kagera
Tanzania yashiriki mjadala usimamizi masuala ya maji