Kampuni ya Merdianbet imefika Mabibo awamu hii na wakati huu imefika kwa timu ya mpira wa miguu inayopatikana Mabibo inayofahamika kama Mabibo Boys, Huku lengo kuu la kufika kwenye kambi ya timu hiyo ni kugawa vifaa vya michezo kama jezi na mipira ambayo itawasaidia katika michezo mbali ya timu hiyo.

Timu ya Meridianbet ambayo iliongozwa na mkuu wa idara ya Masoko Matina Nkurlu na mawasiliano ya kampuni hiyo na kufika eneo hilo la Mabibo kwajili ya kutoa vifaa hivo kwa timu ya Mabibo Boys ambayo imekua ikiiwakilisha mitaa ya Mabibo kwenye mpira wa miguu, Hii inaendelea kuonesha namna Meridianbet wamekua mstari wa mbele katika kurudisha kwenye jamii.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Bwana Matina Nkurlu alisema kuwa Meridianbet iliamua kuwafikia Mabibo Boys kwasababu,

“Meridianbet tunaamini michezo ni Afya na ni Ajira hivyo kuwapa vifaa  vya michezo ndugu zetu wa Mabibo Boys ni katika kuhakikisha vijana hawa wanakua na afya njema lakini pia kupata ajira kupitia michezo, na tunatoa wito kwa makampuni mengine kushiri kikamilifu kuvisaidia hivi vituo vidogo vya michezo ili kuzalisha watu wengi wenye mafanikio kwenye michezo”

Vilevile baada ya kupokea vifaa hivyo michezo katibu wa timu ya Mabibo Boys alisema “Kiukweli msaada huu umekuja wakati sahihi kabisa kwakua timu yetu ilikua na uhitaji mkubwa wa vifaa vya michezo na mipira hivyo hii itakua ni sehemu ya kutatua changamoto za timu kuelekea kwenye mashindano.

Meridianbet imejiwekea utaratibu wa kutoa misaada sehemu mbalimbali hasa michezo na sehemu nyingine, kama taasisi ya michezo ya kubahatisha imekua ni utaratibu unaopaswa kuigwa.

 Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Meridianbet  Imeendelea kuwafikia watu mbalimbali ambao wan auhitaji mkubwa sana na safari hii wameifikia timu ya Mabibo Boys na kuwapatia vifaa vya michezo ikiwemo jezi na mipira ambayo itawasaidia wakiwa kwenye mashindano mbalimbali. Kubashiri na Mabingwa, ingia Meridianbet.co.tz AU PIGA *149*10# kubashiri bila bando.

Mataifa 43 hatarini kuambukizwa kipindupindu
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Mei 20, 2023