Ni furaha kubwa kwa akina mama Ntilie ambao wanajishughulisha na masuala ya upishi wa vyakula ambapo leo hii timu ya Meridianbet imewatembelea na kuweza kutoa Aprons kwa kina Mama hao ziwasaidie kwaajili ya maandalizi ya chakula.

Kama tunavyojua kila mtu anapenda kula chakula ambacho kimeandaliwa kwenye mazingira safi na salama hata pale ambapo anakula chakula hicho asiwe na wasiwasi wa kula chakula ambacho si salama na mwisho wa siku kikamleta magonjwa kama vile kuharisha, kipindupindu na mengine mengi.

Kina mama wa maenao ya Kariakoo na Manzese walifanikiwa kutoa shukrani zao kwa Kampuni ya Meridianbet kwa msaada walioutoa kwao na mmoja wao ni Mama Juice K/Koo alisema, “Nimefurahi sana kupewa kitendea kazi kama hichi, ambapo kwenye biashara yangu hii ya kuuza Juice itanisaidia kulinda mazingira na usafi wa mwili” Pia nawasihi wafanyabiashara wenzangu tuwaunge mkono Meridianbet katika huduma zao kwa kwakuwa na wao wanatukumbuka sana sisi wafanyabiashara.”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni na kuhakikisha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie ambaye ni mama John amesema kuwa anawashukuru Meridianbet kwa kuwafikia nakuwaletea Aprons hizo kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa sana kwao lakini pia waendelee hivyo hivyo kuwafikia wannanchi wote wenye uhitaji. NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia.

1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Machi 31, 2023
Mtibwa Sugar yatanguliza salamu Chamazi