Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa mfumo wa utoaji wa vyeti vya Uviko 19 kwa njia ya mtandao maarufu kama PIMACOVID umepata hitilafu na kupelekea kuathirika ufanisi wa utoaji wa vyeti

Waziri ndaki ataka kuwekwa vipaumbele zaidi katika tasnia ya maziwa
Amani yatawala Young Africans