Siku chache baada ya FBI nchini Marekani kusema kuwa haitafungua mashtaka ya jinai dhidi ya Hillary Clinton kwa kosa la kutumia barua pepe ya kibinafsi na kushughulikia taarifa za siri za kiserikali wakati alipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani, Serikali ya Marekani imeanza kufanya uchunguzi dhidi ya Hillary Clinton ambaye kwa sasa anakiwania kiti cha Urais wa Democrat.

Mark Clattenburg Aangukiwa Na Bahati Nyingine
Nay wa mitego Ahofia ''Basata'' juu ya Ujio wake Mpya