Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Oktoba 6, 2021 ameshiriki mkutano uliokutanisha wajumbe wa bodi vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogoro ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawekezaji.

Aidha Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi.

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021, Kulia ni Mbunge wa jimbo la Hai Mhe.Saashisha Mafuwe .
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021.
Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akitoa taarifa ya kamati maalum iliyoundwa kufuatilia migogoro hiyo ili kupata utatuzi wake mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe.
Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akiwa katika kikao hicho na Mkuu wa wilaya Mwanga Ndg. Thompson Mwan’onda wakati mkutano huo ulipokuwa ukiendelea.
Mmoja wa wanachama wa vyama hivyo vya ushirika Mkoani Kilimanjaro akichangia maoni yake wakati kikao hicho kikiendelea.

R Kelly afungiwa YouTube
Kesi ya Gugai na wenzake yaahirishwa hadi octoba 22, 2021