Kumezuka sintofahamu kubwa baada ya leo gazeti ya The Sun kuripoti kwamba Manchester United inaweza kumsahili kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey kweye dirisha hili la usajili.

Ramsey, ambaye kwa sasa yupo na timu yake ya taifa ya Wales katika michunao ya Euro mwaka huu, anakadiriwa kuwa na thamani ya paundi milioni 50 endapo United wataamua kumsajili.

Taarifa zilizopo zinaelza kwamba, Ramsey ni kama mbadala endapo dili la usajili wa kiungo mchezeshaji wa Borussia Dortmund Henrikh Mkhitaryan litafeli.

Namna watu walivyoshangazwa na taarifa hizo

Anajisiwa Kisha kuvunjwa shingo- Arusha
Video Mpya: Godzilla - Nataka Mkwanja