Mshindi wa kwanza wa Miss Kiziwi Tanzania Khadija Kanyama amewaomba wadau wa maswala ya Uzazi kujihusisha zaidi kutoa elimu ya uzazi kwa watu wenye mahitaji maalumu kama viziwi kwani hali ya kukosa elimu inawasababishia kuoata ujauzito wasioutarajia

Tazama mahojiano maalumu kati ya Dar 24 Media na Miss Kiziwi Tanzania 2021 Hadija Kanyama, ambae ni mshindi namba mbili wa Miss Kiziwi Afrika.

Mahojiano kati ya Stanslaus Lambati wa Dar24 Media na Miss Kiziwi Tanzania Hadija Kanyama
Rais Samia atoa agizo Wizara ya Afya
Wamachinga zimebaki siku mbili