Inahuzunisha sana, Consoler Eliya ambaye ni mwanzilishi wa huduma ya ‘News Hope for Girls Organization’ inayohusu malezi kwa watoto waliotelekezwa na kuishi katika mazingira magumu amesimulia maisha aliyopitia hadi kuamua kujitoa kwa ajili ya watoto wengine.

Ameeleza jinsi alivyotaka kuuliwa baada ya kupigwa kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 jioni. Bofya hapa kutazama Mkasa huu

Umoja wa mawakala wa pembejeo waomba kuteta na JPM
Prof. Mkumbo ampa tano Odinga, asema ni baba wa Demokrasia Afrika