Aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe Mkoani Kigoma kupitia chama cha NCCR- Mageuzi, Felix Mkosamali, amehamia CHADEMA na kutangaza nia ya kuwania Ubunge wa jimbo la Muhambwe katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.

Kama ilivyo ada ya wabunge wengine wanapohama vyama kutoa sababu, Mkosamali amesema NCCR – Mageuzi ni chama walichosinzia na wanategemea majimbo ya kupewa….Bofya hapa kutazama.