Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Asajile Lucas, Ili kujibu tuhuma zinazomkabili za upotevu wa mabati katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.

Aidha Waziri Ummy amemuagiza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI kupeleka timu huru ya kuchunguza kwa kina tuhuma hizo

Kesi ya Sabaya kusikilizwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi
Daktari aliyemfumua nyuzi mgonjwa akalia kuti kavu