Jeshi la Polisi Wilaya ya Kigoma limezuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe uliopangwa kufanyika leo katika viwanja vya Mwanga Center, Manispaa ya Kigoma Ujiji.

Kwenye barua yao kwa Ofisi ya Mbunge huyo, Jeshi la Polisi Wilaya ya Kigoma linadai kuwa limezuia mkutano huo “..kwa sababu za kiusalama kutokana na taarifa za kiintelijensia zilizopo”.

1579240845745.png

 

 

 

 

Askari aliyekabidhi mwizi kwa raia apigwe na kuuawa, afukuzwa kazi
Video: Waziri akuta kondomu zikiwa zimeanikwa juani hospitalini

Comments

comments