Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, ametoa elimu juu ya kukabiliana na na kuwafichua wahalifu katika kijiji cha Masuguru wilayani Masuguru mkoani Mtwara.

Katika picha,Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akizungumza na wanakijiji cha Masuguru wilayani Masuguru mkoani Mtwara juu ya kukabilina na kuwafichua wahalifu wanaokimbilia kijijini hapo wakitokea nchini Msumbiji.

 

Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akisalimiana Kamandani Jawapi mwanakijiji wa Masuguru wilayani Masuguru mkoani Mtwara baada ya kumalizika mkutano na wananchi wa eneeo hilo.

Kalanga amrudia Lowassa kivingine, ‘nimeongea na wazee’
Video: Lissu atuma waraka mzito kwa Magufuli, Makontena 10 ya Makonda yazua utata mpya mnadani

Comments

comments