Leo July 15, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Fadhili Nkurlu kuanzia.

Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.

Anamringi Macha ametakiwa kuripoti katika kituo chake cha kazi mara moja.

Ufaransa yashinda Kombe la Dunia, yaichapa Croatia 4-2
Itakavyokuwa kama Croatia wataifunga Ufaransa leo...

Comments

comments