Moto umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivopo mkabala na hostel za Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Moto huo umetokea leo Novemba 12, 2021, ambapo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika katika eneo hilo na kuzima moto huo usiendelee kuleta madhada katika maeneo megine.

Endelea kufuatilia Dar 24 Media tutaendelea kukujuza…..

Nilipoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na mume wangu
Wananchi wailalamikia serikali kuhusu waraibu