mchezaji huru kutoka Niger, Garba amesaini Mkataba wa mwaka mmoja, wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja, iwapo atafanya vizuri.
Winga wa zamani wa Club Africain na ES Hammam-Sousse za Tunisia, Garba aliyezaliwa mji wa Niamey, mwenye urefu wa futi 5 na inchi 6, kisoka alianzia klabu ya AS FAN ya kwao mwaka 2010, kabla ya kuhamia Thailand ambako alichezea klabu za Muangthong United mwaka 2011 na Phuket.