Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemteua Dunstan Kyobya kuwa mkuu wa wilaya ya Mtwara.

Kabla ya uteuai huo Kyobya alikuwa mshauri wa Rais katika maswala ya sheria ameshika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya mkoa huo Evod Mmanda aliyefariki dunia April 27, 2020.

Wakati huo huo Rais Magufuli amemteua pia Dk Delphine Deocles Magere kuwa Katibu tawala wa mkoa wa pwani na Dunstan.

Kabla ya uteuzi huo Dk Magere alikuwa ofisi ya Rais akishughulikia maswala ya uchumi ambapo anachukua nafasi ya Bi Theresia Mbando ambaye amestaafu.

Eymael achekelea ligi kurejea
Man City yamuweka njia panda Leroy Sane