Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la kuhifadhi mpingo na maendeleo(MCDI) Mr Makala Jasper usiku wa  jana huko Washington DC-USA  Ameibuka Kidedea baada ya kushinda Tuzo ya mwaka 2016 iitwayo National Geographic Society/Buffett Award for Leadership in African Conservation
Tuzo hiyo ina thamani ya Dolla 25,000.

Jasper Makala Mkurugenzi wa MCDI Yenye makao makuu yake Kilwa Masoko Mkoani Lindi ameiwakilisha vyema Africa na Tanzania Ambapo kwa Kushinda Tuzo hiyo.
Ushindi huo ni Baada ya Kuwashinda Washiriki wengine 30 Toka bara la Africa na Wenye Uwezo mkubwa na kufanya mchuano kuwa mkali sana.

Iikumbukwe hii ni tuzo ya pili ndani ya miezi miwili ambapo Makala Jasper  aliwania tuzo za Whitley huko nchini Uingereza ambapo pia alishinda tuzo hiyo ambayo ilikuwa na thamani ya Paundi  £35, 000.Zaidi ya Milioni 100 za Kitanzania

Ushindi huo unatokana na Mawasilisho ya Utunzaji Shirikishi na Uhifadhi wa Misitu

Tuzo

Hivi karibuni Jasper Makala Akikabidhi Tuzo ya Whitley Award Kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi

Neema yatarijiwa Vyuo vikuu.
Majaliwa amezitaka Benki kupitia upya riba zao