Mshike mshike wa ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi uliendelea tena usiku wa kuamkia hii leo, ambapo miamba 16 ilishuka katika viwanja vinane tofauti kusaka point tatu muhimu za mzunguuko wa nne.
Michezo ya michuano hiyo kwa usiku wa kuamkia hii leo ilihusisha kundi la tano hadi la nane.
Matokeo:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI E
Monaco 3-0 CSKA Full
Tottenham 0-1 Bayer Levkn
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI F
Bor Dortmd 1-0 Sporting
Legia War 3-3 Real Madrid
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI G
FC Copenhagen 0-0 Leicester
FC Porto 1-0 Club Brugge
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – KUNDI H
Juventus1-1 Lyon
Sevilla 4-0 Dinamo Zagreb