Muigizaji na mjasiriamali maarufu Muna Love amefunguka kwa uchungu na kushangazwa baada ya taarifa zilizoenezwa wiki kadhaa nyuma kuwa amefariki dunia.

Kupitia kwenye ukurasa wake maalum wa Instagram Muna ameshangazwa na na kuhoji nia ya taarifa hizo zilizoenezwa na moja ya chaneli YouTube.

“Mimi sitakufa bali nitaishi ili kutangaza ukuu wa bwana, nikimaliza kazi basi nitaenda kupumzika, ila kwa sasa bado nipo sana tu mi nitakufa nikiwa mzee sana,

Na nyie mnaoniombea hili Mungu awabariki na kuwapa maisha marefu nimetumiwa sasa hivi nimebaki sina la kuwaambia ila Mungu atashughulika na ninyi, hata kama hunipendi ndio uniuwe nikiwa hai ?” amehoji Muna.

Mchekeshaji Vinnie Baite apata dili nono
Afya ya akili yawaunganisha Selena Gomez na Biden