Picha za litakavyokua Soko jipya la Kariakoo baada ya ujenzi wake kukamilika zimeachiwa ikiwa gharama ya ujenzi wote itakua TZS bilioni 32.2

Katika gharama hizo ukarabati wa soko la zamani ni TZS bilioni 6 na ujenzi wa soko jipya ni TZS bilioni 26.2.

Muonekano mpya wa Soko la Kariakoo

Soko litahudumia wafanyabiashara zaidi ya 2300 na litarahisisha ufanyaji biashara na kuboresha mandhari ya jiji.

Waziri Mkuu anusurika jaribio la mauaji Iraq
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Novemba 7, 2021