Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania (TPLB) imempa onyo mwamuzi Elly Sasii, kufautia tukio la kutoa mkwaju wa penati tata, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba SC dhidi ya KMC FC.

Kamati hiyo imepitia kwa kina ktukio hilo la kujiridhisha kuwa, mwamuzi Hery Sasii alishindwa kutafsiri sheria za soka, na kuinyonga KMC FC ambayo ilipoteza mchezo kwa kufungwa 1-0.

No photo description available.
No photo description available.
Image may contain: text
Young Africans yapeta ASFC, Singida Utd yapigwa rungu
Monzizi aanza mazoezi Azam FC