Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Yasinta Mathew (17), Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Cyril Chami amefariki kwa kujinyonga

Kamanda amesema tukio hilo limetokea Mweka, Kata ya Kibosho Mashariki Agosti 16, 2021 ambapo imedaiwa limetokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na kusimamishwa masomo.

Akizungumza na Dar24 media Msaikolojia Justus Auguast amefafanua sababu inayopelekea watu kuchua maamuzi ya kujiua.

Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais wa Zambia
Clatous Chama mali halali RS Berkane