Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan hii leo Desemba 6, 2022 ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC).

Samia ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameongoza kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, White House Jijini Dodoma.

Marekani 'yamuonya' Kagame kuwaunga mkono waasi
Bidhaa zaidi ya 8000 za Tanzania kuuzwa China