Mshambuliaji Ibrahima Fofana kutoka nchini Ivory Coast ametua nchini mchana huu kufanya majaribio ya kujiunga na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC.

Taarifa za awali zilizotolewa na klabu hiyo, Fofana (26), ametua akitokea timu ya Union Sportive de Ben Guerdane ya Tunisia aliyokuwa akiichezea msimu uliopita uliomalizika Juni 14 mwaka huu, aliyojiunga nayo akitokea kikosi cha Asec Mimosas ya Ivory Coast alikodumu tokea mwaka 2013-2015.

Jurgen Klopp Amfukuza Super Mario Barwuah Balotelli
Video: Jeshi la Polisi Latangaza Balaa kwa Wenye Vyeti Feki.