Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Profesa Abel Makubi amesema kuwa Mamlaka ya Ajira imemsimamisha kazi muuguzi Scholastica Leoni Khanje wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru Arusha kwa kufanya Mzaha katika jambo la kitaifa la utoaji wa chanjo ya Uviko 19.

RC Kagaigai: awatoa hofu wananchi Mkoa wa Kilimanjaro
Usajili CAF: Biashara United Mara bado kizungumkuti