Mzunguuko wa tano wa ligi ya mabingwa barani Ulaya uliendelea tena usiku wa kuamkia hii leo kwa michezo ya kundi la tano hadi la nane kuchezwa katika viwanja tofauti.

Matokeo ya michezo iliyounguruma barani humo.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Tano

CSKA Moscow 1-1 Bayer 04 Leverkusen

Monaco 2-1 Tottenham Hotspur

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Sita

Borussia Dortmund 8-4 Legia Warsaw

Sporting Lisbon 1-2 Real Madrid

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Saba

FC Copenhagen 0-0  FC Porto

Leicester City 2-1 Club Brugge

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Nane

Dinamo Zagreb 0-1 Lyon

Sevilla 1-3 Juventus

 

Michuano hiyo inaendelea tena hii leo kwa michezo ya kundi la kwanza hado la nne ambapo:

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Kwanza

Arsenal Vs Paris Saint Germain

Ludogorets Razgrad v FC Basel

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – GROUP B

Besiktas v Benfica

Napoli v Dynamo Kiev

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Tatu

Borussia Mönchengladbach v Manchester City

Celtic v Barcelona

 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Nne

FC Rostov v Bayern Munich

Atlético Madrid v PSV Eindhoven

Muhimu: timu ambazo zimeshafaulu kucheza hatua ya 16 bora kwa msimu huu ni Arsenal, Paris St-Germain, Atletico Madrid, Bayern Munich, Borussia Dortmund, Monaco, Bayer Leverkusen, Real Madrid. Leicester City na Juventus.

Timu ambazo hazina nafasi ya kusonga mbele ni Ludogorets, Basel, PSV Eindhoven, FC Rostov, Club Brugge, Dinamo Zagreb, Legia Warsaw, Tottenham, CSKA Moscow na Sporting Lisbon

Chadema kuhakiki wanachama, yajipanga kupunguza kutegemea ruzuku
TBS yakanusha taarifa za kuwepo maji yanayoua