Mr Blue pamoja na African Princes maarufu kama Nandy wameachia ngoma yao mpya inayoenda kwa jina la Blue official.

Ngoma hiyo imezungumzia maisha ya Mr. Blue tangu kuacha shule na kuamua kufanya muziki unaompa kula yeye pamoja na familia yake.

Ambapo Nandy amesikika akiimba kibwagizo kilichotaja herufi za jina la Mr Blue huku Mr Blue mwenyewe akichana mistari ya nyimbo hiyo.

Tazama video hapa chini, na shusha komenti yako juu ya kolabo hiyo iliyomshirikisha rapa uyo na mwanadada Nandy.

66 wafa Mexico mlipuko bomba la mafuta
Makonda avunja ukimya kuhusu Tundu Lissu, 'Ziara yako ya Ulaya haina tija'

Comments

comments