Msanii mkongwe wa HipHop nchini, Nash Mc anayetamba na albamu yake ya Diwani ya Maalimu amesema msanii kufikisha ujumbe hatakiwi asifiwe ni wajibu wa msanii kuelimisha jamii.

Amesema hayo kwenye mahojiano na Exlusive ya dar24, ameongeza kuwa serikali haikuweka msingi mzuri kwa wasanii tokea mwanzo ndio maana kumekuwa na mkanganyiko kwa wasanii hapa nchini tofauti na nchi za wenzetu…, Bofya hapa kutazama

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=HrdnWPgjsss]

Mambo 10 kushangaza usiyoyajua kuhusu Kuku
Fahamu madhara ya kutumia simu gizani