Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltennburg amemuonya Rais mteule wa Marekani Donald Trump dhidi ya kufanya maamuzi binafsi ,na kusema kuwa sio chaguo la Muungano wa Ulaya  na hata Marekani.

Amesema kuwa mataifa ya magharibi yalikabiliwa na changomoto kubwa kiusalama wakati wa kampeni zake za uchaguzi , Trump aliutaja muungano huo wa kijeshi wa mataifa ya Magharibi kama umepitwa na wakati.

Alisema kuwa Marekani itafikiri mara mbili kumsaidia mwanachama yeyote wa muungano huo ambaye ameshambuliwa iwapo hajalipa kodi yake ya uanachama.

 

Luis Suarez Ampigania Glen Johnson FC Barcelona
Profesa ala wadudu kutimiza ahadi aliyoitoa ‘kama trump akishinda Urais’