Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wabunge wanane wa viti maalum kupitia Chama cha Wananchi CUF ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza la maadili la chama hicho.

NEC imefikia hatua mara baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kuwasilisha taarifa katika Tume hiyo kuhusu kuvuliwa uanachama kwa wabunge nane wa CUF hivyo kuiomba Tume hiyo kufuata taratibu zilizopo za kuziba pengo hilo.

029A5610

A

Serikali kuimarisha uhusiano na vyombo vya habari nchini
Lissu apata dhamana, hatma ya upelelezi wa kesi yake yaanikwa