Serikali kupitia kwa Mesmaji Mkuu wa Serikali imetoa Nembo Rasmi itakayotumika katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.

Kauli mbiu katika maadhimisho hayo itakua ni “Miaka 60 ya Uhuru; Tanzania Imara, Kazi Iendelee.

Tanzania huadhimisha uhuru wa Tanganyika kila mwaka tarehe 9 Disemba ambapo mwaka huu inatimiza miaka 60 tangu kujiondoa kwa mabeberu.

Nembo itakayotumika kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania

Kumwembe: Mukoko hana chake Young Africans
Dkt Gwajima: Wataalamu toeni elimu ya usonji kwa jamii