Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umekanusha taarifa zinazosambaa kuhusu kuondolewa kwa baadhi ya huduma ikiwemo Oksijeni (Oxygen) na dawa kwa wagonjwa wenye shida ya upumuaji kwenye malipo ya Bima

NHIF imesema haijaondoa huduma yoyote kwenye kitita cha mafao ya Bima na taarifa inayosambazwa inalenga kuleta hofu kwa Wananchi na wanufaika wa huduma za Bima.

Kunenge akerwa na ubabaishaji
Kuagiza sukari nje mwisho 2022