Umati mkubwa wa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Mwanza, leo wamefurika katika Mahakama Kuu ya Kanda ya Mwanza kusikiliza kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje kupinga ushindi wa Stanslaus Mabula (CCM).

Umati 4

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho walikuwa miongoni mwa wafuasi waliohudhuria.

Umati 7

Polisi Mahakamani

Jeshi la Polisi Mkoani humo lilifanya kazi kubwa ya kuhakikisha ulinzi unaimarika katika eneo la Mahakama pamoja na mitaa yote waliopita wafuasi hao.

Wenje anapinga matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 25 mwaka jana uliompa ushindi Stanslaus Mabula (CCM).

Wenje akifuatilia Kesi Mahakamani

Mabula Mahakamani

Stanslaus Mabula akifuatilia Kesi Mahakamani

 

Apple yaandaa simu isiyoweza kudukuliwa, kupekuliwa na Serikali yoyote
Net bargain-priced tailor-made essay, school assignment, basic research document, review