Rapper Nick minaji matatani kufikishwa mahakamani  na mkogwe muziki nchini Marekani, Tracy Chapman kwa makosa ya kutumia mistari na melody za wimbo wake wa  ‘Baby can I hold you’  kwenye wimbo wake wa  ‘sorry’ bila ruhusa yake.

Aidha Champman amesema kuwa Nick Minaj alishawahi kutuma maombi  ya kupata kibali kwake cha kutumia wimbo huo aliomshirikisha Nas lakini alipiga chini maombi hayo.

Aidha wimbo wa ‘sorry’ aliouweka Nick minaj kwenye albamu yake ya  Queen na badae kuuondoa kutokana na kutokuwa na kibali cha kutumia melody za wimbo huo

Wimbo wa ‘sory’ ambao ulipigwa kwenye baadhi ya vituo vya radio kwa lego la kuwasilisha mashabiki wa Nick minaj.

Taarifa zilimfikia champman  na ameamua kwenda mbele kumshtaki kwa uharibifu pamoja na kumzuia Nick minaj kuutumia wimbo huo tena.

NATO yaanza kufanya mazoezi makali ya kijeshi
Ubakaji watoto watikisa Kibiti