“…Nitapambana na rushwa na ufisadi bila kigugumizi na bila haya yoyote. Dawa ya jipu ni kulitumbua, na mimi nimejipa kazi ya kuwa mtumbua jipu. Najua kutumbua jipu kuna maumivu lakini bahati mbaya halina dawa nyingine. Hivyo ninaomba Waheshimiwa Wabunge na Watanzania wote mniombee na muniunge mkono wakati natumbua majipu haya’’

– Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, Novemba 20, 2015

Video: "Siwezi kumpongeza Prof. Maghembe.., tutaziroga Ng'ombe mkila mvimbe matumbo" - Msukuma
Video: Polisi wa Roboti Apiga Doria Mitaa Ya Dubai, Anaongea Lugha Tisa

Comments

comments