Hatimaye Rais wa Marekani, Barack Obama amezungumzia taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao kuwa mkewe, Michelle ana mpango wa kugombea Urais siku za usoni.

Kupitia mahojiano aliyofanya na Rolling Stone, Obama amesema kuwa mkewe hana mpango wa kuingia kwenye siasa.

WASHINGTON, DC - OCTOBER 18:  President Barack Obama (R) and First Lady Michelle Obama await the arrival of Italian Prime Minister Matteo Renzi and Agnese Landini on October 18, 2016 in Washington, DC.  (Photo by Leigh Vogel/WireImage)

“Michelle hatagombea kamwe,” alisema Obama. Nafahamu ni mtu mwenye kipaji ninachokifahamu,” aliongeza.

Endapo Michelle angewania nafasi ya urais, angekuwa amefuata nyayo za Hillary Clinton aliyewania nafasi ya urais mwaka huu akiwa mke wa Rais mstaafu wa Marekani, Bill Clinton.

 

CIA yamuonya Trump
Rungwe amgeukia Profesa Lipumba