Ofisi za IMMMA Advocates za wanasheria Fatuma karume na Lawrence Masha zimewaka moto Alfajiri ya Leo chanzo hakijajulikana.

“Tumepata janga kubwa, ofisi yetu imepigwa bomu uharibifu mkubwa Polisi wapo wengi nimefika hapa Upanga tangu saa 9, mtuombee” amesema Fatma Karume

Pacquiao aungana na 'Timu Mayweather', amshusha McGregor
Kikwete awataka wabunge chama tawala kuikosoa Serikali