Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limetangaza jina la kirusi kipya cha Corona kuwa ni “Omicron”.

Shirika hili limesema hiki ni kirusi chenye kutia wasiwasi na kimeshaenea nchi kadhaa ikiwemo Botswana, Ubelgiji, Hong Kong, Israel na Afrika Kusini kilipoanzia.

Hapo jana Wadau wa Maswala ya Virusi vya Corona kutoka WHO waliketi na kujadili kwa dharura kirusi hiki kipya wakisema bado kina utata.

Makonda aitwa mahakamani kwa kutenda jinai
Ummy:Marufuku wanafunzi kwenda shule wakati wa likizo